MY Diary
My blogs
| Location | Dar es Salaam, East Africa, Tanzania |
|---|---|
| Introduction | My Diary ni kipindi cha pekee kabisa Tanzania ambacho tunaongelea kuhusu mapenzi, maumivu ya mapenzi, usaliti, hapa wadada uongea, ufundishana, upeana moyo na mwisho wa siku, uondoka hapa wakiwa na uelewa zaidi na machozi ukauka kabisa, mapenzi ni kitu kizuri, lakini kinaumiza, ukiwa makini na muelewa uta enjoy mapenzi milele. Angalia my diary show TBC 1 My Diary is first of its kind of productions that has been crafted to target the youths who despite seeking for information on TV but also desire entertainment, so we created the infotainment in one program, hence we have tapped into untouched field Love and heart brokenness, here relationship is talked about in an open way, and grils get to comfort, advise and share with each other the pain the joy and the lessons learnt. every girl leaves this place a smarter woman. tears dried up. |
