UFUGAJI BORA WA KUKU TZ

My blogs

About me

Gender Male
Industry Student
Occupation GRADUATE OF BSC ANIMAL SCIENCE AT SUA-SELF EMPLOYED
Location MOROGORO, IRINGA, Tanzania
Introduction KWA NINI TUFUGE KUKU? Ufugaji wa kuku ni biashara nzuri ambayo inakua siku hadi siku, na kutokana na kuongezeka kwa idadi kubwa ya watu nchini TANZANIA ni vema wakulima wakafuga kuku kwa utaalamu wa hali ya juu. LENGO Kumwezesha mkulima kufuga kuku kwa gharama nafuu,Kuku wakue Ndani ya muda mfupi, Kuku watage mayai mengi, Kuku wasiugue magonjwa ili kupunguza gharama za uzalishaji, Kuku waishi mazingira rafiki ili wazalishe kwa kiwango cha juu. ADHMA Kumsaidia mkulima aweze kuzalisha kuku kwa tija( Mayai, Vifaranga, Kuku na Nyama yenye ubora). MTAZAMO Ndani ya mwaka mmoja mkulima awe anaweza kufuga kuku wengi watakao mletea faida katika soko.
Interests Kufuga kuku, Ushirikiano, Kujifunza, Kujitolea na kutoa elimu kwa jamii juu ya ufugaji bora wa kuku.
Favorite Movies Action movies e.g Super hero, Master of the Sword
Favorite Music Gosple Music by Ambwene mwasongwe na Benjamin Dube
Favorite Books I CAN, I WILL, I MUST by LEGINARD MENGI

kwa nini kuku na sio mifugo mingine? Je ni kuku waaina gani? Chakula chake napata wapi/ natengenezaje? Faida au masoko nitapataje?