Blogger
Women4WomenTz
On Blogger since: April 2012
Profile views: 345

My blogs

About me

Occupationbusiness and marketing coordination
LocationDar es Salaam, Kinondoni, Tanzania
IntroductionWomen For Women Tanzania, ni tovuti maalum kwa ajili ya kutoa taarifa kwa wadau ndani na nje ya nchi juu ya masuala ya Uzalishaji, Biashara, Masoko, Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo na Uwekezaji ndani na nje ya Tanzania Tovuti hii imesanifiwa kutoa fursa za kipekee ambazo zinawaunganisha wadau kwenye sekta ambazo zinahusiana. Wadau watanufaika kwenye mambo yahusuyo Sera, Mikakati, Sheria na Kanuni zinazosimamia sekta ambazo zinaonesha jitihada katika mtangamano wa Viwanda, Biashara, Masoko, Uwekezaji pamoja na huduma mbalimbali zinazoiunganisha Tanzania na Dunia.
InterestsKuwezesha ushikiriki wa sekta binafsi; kuendeleza ujasiriamali na kuwezesha kukua kwa uzalishaji na masoko.
Google apps
Main menu