Blogger
KAGOMA GREEN ESTATES
On Blogger since: October 2015
Profile views: 543

My blogs

About me

GenderMale
IndustryBusiness Services
OccupationBusinesses
LocationMuleba, Kagera, Tanzania
IntroductionKagoma Green Estates ni kampuni ya kizalendo iliyoanzishwa na Bwana Salum Said Seif kwa lengo la kuondoa umasikini nchini Tanzania akianzia katika kijiji alichozaliwa kijiji cha Kagoma, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera. Pamoja na shughuli nyingi, Kagoma Green Estates inajihusisha na kilimo cha migomba, mashamba ya miti na utunzaji wa wa mazingira. Hivi karibuni Kagoma Green Estates itaanzisha kiwanda cha kusindika juisi ya asili ya ndizi (pure natural banana juice). Aidha miradi ya Kagoma Green Estates imebuniwa na inasimamiwa na Mtanzania Bwana Sylivester Marosha. Kwa sasa hivi Kampuni hii ina wafanyakazi wa mashambani zaidi ya 10, walinzi na waendesha mitambo.
Interestsserving people
Google apps
Main menu