Dr. Idd Selemani
My blogs
| Gender | Male |
|---|---|
| Industry | Education |
| Occupation | Doctor |
| Location | Ankara, Ankara, Türkiye |
| Introduction | Nimezaliwa na kukulia katikati ya Tanzania, katika jamii ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu ulijaa maisha ya kijijini—nikichunga ng’ombe, nikijifunza thamani ya kazi, uvumilivu na umoja wa kijamii. Nilisoma Mzumbe Sekondari na baadaye Feza Boys’, kabla ya kufungua ukurasa mpya wa maisha yangu katika safari ya elimu ya Udaktari nje ya nchi. Leo, ni Daktari Bingwa wa Dharura (Emergency Specialist), nikiwa nimejikita katika kuhudumia wagonjwa wanaohitaji matibabu ya haraka na kuboresha huduma za dharura hospitalini. Safari yangu ya kujifunza bado inaendelea, lakini ndoto yangu kuu ni kurudisha ujuzi na uzoefu nilioupata katika jamii yangu, kwa kushirikiana na wengine wenye maono ya kubadilisha maisha ya watu wetu kupitia elimu, afya, na maendeleo endelevu. |
| Interests | Writing,video editing and creating, chilling with family. |
| Favorite movies | Life is beautiful,Lion King,Bad boys series |
| Favorite music | Bongo flava |
| Favorite books | Rais anampenda mke wangu, Ngoswe penzi kitovu cha uzembe, Songs of Lawino. |
