THE FAIR LABOR NETWORK
My blogs
| Gender | Male |
|---|---|
| Industry | Law |
| Occupation | Industrial Relations| Trade Unions| Labor Law |
| Location | Geita Municipal Council, Geita Region, Tanzania |
| Links | Wishlist |
| Introduction | Karibu kwenye blogu yangu, The Fair Labor Network. Jina langu ni Emmanuel Claudio Zongwe, ni mtaalamu mwenye shauku kubwa kuhusu masuala ya haki za Wafanyakazi, ajira na mahusiano mahali pa kazi. Kwa sasa, ninafanya kazi kwenye Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), ambapo naweza kushiriki katika kuboresha hali ya Wafanyakazi na kutetea haki zao. Pamoja na kazi yangu, pia naandika makala zinazohusu masuala ya ajira, sheria za kazi, na maendeleo ya sekta ya kazi na ajira. Napenda kusoma, kuandika, muziki, filamu na teknolojia. Haya yote yananivutia sana na kunipa mitizamo ya kipekee katika uandishi wangu. Hapa, nitashirikisha mawazo na ujuzi wangu kuhusu haki za Wafanyakazi, sheria za ajira, na changamotozinazokumba mahali pa kazi, nikitumai kutoa mwanga kwa wasomi, wafanyakazi, na wadau wa sekta ya kazi. Lengo langu ni kuelimisha na kutoa taarifa za kina zinazosaidia katika kuboresha mahusiano kazini na kulinda haki za Wafanyakazi. |
| Interests | Napenda kusoma, kuandika, muziki, filamu na teknolojia. Kwa sasa nafanya kazi kwenye Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), ambapo napigania haki za Wafanyakazi na kuelimisha kuhusu masuala ya ajira na mahusiano mahali pa kazi. |

