parapandabbTheatre Lab Trust
My blogs
| Location | dar es salaam, DAR ES SALAAM, Tanzania |
|---|---|
| Introduction | Taasisi ya Parapanda Theatre Lab Trust(PTLT) ilianzishwa mwaka 1994 ikiwa inajulikana kama PARAPANDA ARTS ikiwa na wasanii 12. Taasisi hii kongwe imejikita zaidi katika sanaa kwa watoto,vijana na sanaa kwa maendeleo ya jamii na mpaka sasa imeweza kufanya kazi na mashirika kadha kama vile; FAMILY HEALTH INTERNATIONAL(FHI),FORD FOUNDATION,AMREF,UMATI na pia shule na vyuo mbalimbali nchini. Baadhi ya wasanii waliopo Parapanda ni Eva Nyambe, Amani Lukuli, Mkude Kilosa na Frank Samatu. |

