JUMA KIBE
My blogs
Blogs I follow
| Industry | Engineering |
|---|---|
| Occupation | IT |
| Location | Gongo la mboto, Dar es salaam, Tanzania |
| Introduction | Ni mtoto wa kiume wa pekee kati ya watoto wawili kutoka katika familia ya mzee Kibe.Nina elimu ya chuo kikuu ngazi ya cheti niliyoipata katika chuo kikuu cha Kampala(DSM).Ninamalengo ya kufika mbali sana ususani katika masuala ya computer. Nipo single! Mungu ajanijaalia bado kupata ka-mwali.Naishi pamoja na wazazi wangu wote wawili na ni jambo la kumshukuru Mungu. Napenda sana amani,maendeleo na ibada,Pia napenda marafiki wenye wivu na uchu wa maendeleo.Napenda pia kushare mautundu na wa2 about computer.So kama vipi niibukie 2 nntafurahi zaid."NB": Nna certificate ya IT but nna maujuzi zaidi ya Diploma...Kama kuna job fresh 2....Karibu sana bana!!... |
| Favorite movies | I like Magic moves like-The returning of the Mummy,Predator,etc |
| Favorite music | I like Bolingo & mnanda!! yaani hunambii k2. |
| Favorite books | Quran,Bible & Magic story books. |

