Agape Farms Tanzania Limited
My blogs
Blogs I follow
| Industry | Business Services |
|---|---|
| Occupation | Business |
| Location | Dar Es Salaam, P.O. Box 71910, Tanzania |
| Introduction | Wakurugenzi - Barry, Lilian na Richard ni wafugaji, tumejifunza kupitia watu mbalimbali jinsi ya kuwajibika katika Mradi huu wa kutunza ndege na wanyama na kuuza mayai, Nyama kwa ajili ya Kuku, Ngombe, Mbuzi na Maziwa ya Ngamia, Vifaranga vya Kuku na Bata Mzinga. Unaweza kuwasiliana nasi kwa Email; Agapepoultryfarms@gmail.com Ahsante kwa kututembelea |
| Interests | Lengo ni kujitahidi kukidhi mahitaji ya kuku wa kienyeji,bata mzinga, maziwa ya ngamia na ngombe pamoja na kuuza ngombe. |
| Favorite movies | Zinazomtukuza Mungu |
| Favorite music | Mziki wa Injili |
| Favorite books | Heaven is so real |

