Blogger
WALTER'S FAMILY
On Blogger since: December 2010
Profile views: 511

My blogs

Blogs I follow

About me

GenderMale
LocationSongea, Ruvuma, Tanzania
IntroductionNaitwa STEVEN WALTER MGENI Nilizaliwa Tarehe 23/6/1986 katika Kijiji cha Magingo Kilichopo Tarafa ya Madaba,Kata ya Mahanje Wilaya ya Songea Vijijini. baba yangu anaitwa Walter Frolian Mgeni na Mama Yangu ni Josepha Mhogofela. Mimi ni Mtoto wa tatu kuzaliwa katika Familia ya mzee Walter kati ya Watoto watano ambapo kati yao wanne ni Wavulana na mmoja ni Msichana. Mnamo mwaka 1994 Nilianza Darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Magingo Nikiwa na umri wa Miaka nane na Kuhitimu Mwaka 2000 Nikiwa na Umri wa Miaka 15 na Mwaka 2001 Nikafanikiwa Kujiunga kidato cha Kwanza katika shule ya HAGAFILO SECONDARY Iliyopo Wilayani Njombe
Google apps
Main menu