NesiWangu - MyNurse
My blogs
| Gender | Female |
|---|---|
| Location | United States |
| Introduction | Jina langu ni Harriet Shangarai,mzalendo mwenye kuipenda nchi yangu na watu wake.Niliingia taaluma ya afya baada ya kukabiliwa na matatizo makubwa ya afya katika familia na jamii iliyonizunguka.Jambo hili lilinipa uelewa zaidi wa changamoto zilizopo katika utoaji wa huduma za afya na uhafifu wa elemu afya katika jamii. Nafikiri kipengele hiki wengi wetu wana ushuhuda mkubwa tu wa kutosha. Zaidi kama mtoaji huduma ya afya , nimeshuhudia kwamba afya njema zaidi huchangiwa na maamuzi binafsi na endelevu, pata elemu afya na zingatia ushauri wa kitaalamu kwani, Mlelea na Mlelewaji wote wanahusika kwa kina katika mafanikio ya kutafuta afya njema. Hivyo basi,naomba tushirikiane ili kuleta mwamko katika uwanja wa afya, huduma zake na mabadiliko mengine mengi ambayo tutapenda kuona. Asante sana, Usisite kuwasiliana nami kupitia -Nesiwangublog@gmail.com |

