baby fashion
My blogs
Blogs I follow
| Gender | Female |
|---|---|
| Location | Tanzania |
| Introduction | Naitwa Baby Mallya ni kijana wa Kitanzania ninayejihusisha na Ujasilia mali. Kwa sasa nimejikita zaidi kwa vitu vya urembo wa kina dada hasa kutengeneza Wigs (Human Hair 100%) pamoja na kuuza Nywele na handbags za ukweli. Nia na madhumuni kujikita katika biashara ya urembo wa aina zote na nguo ziendazo na wakati kwa kina kaka na kina dada, kwa sasa unaweza kupata bidhaa zangu zenye ubora kwa kutumia njia ya mawasiliano ambayo ipo hapo juu katika blog hii. Nimeamua kuanzisha blog hii ili kuwafikia watu wengi zaidi na waweze kufaidika na bidhaa zangu ambazo huzingatiwa ubora na viwango kwanza. Asanteni sana. |
