Balozihumu

My blogs

About me

Gender Male
Industry Education
Occupation Mwalimu, Mwandishi, Mwanamuziki
Location NAKURU, NAKURU, Kenya
Introduction Douglas Ogutu Ni mwanafunzi (M. A Kiswahili) katika Chuo Kikuu cha Kenyatta (Kenyatta University) .Amepata tajriba katika vyuo mbali mbali vikiwemo DAC EDUCATION na Nairobi Elite, Grate Lakes University of Kisumu alikofundisha Kiswahili pamoja na taaluma ya Sanaa. Yeye ameandika miswada mbalimbali ya Riwaya, Utenzi na Hadithi Fupi anayosubiria uchapishaji. Vile vile, ni mwanamuziki ambaye hucheza ala mbalimbali za muziki zikiwemo fidla na gita.Jiunge naye katika mashairi, nyimbo na maswala mbalimbali katika lugha ya kiswahili.
Interests Kusoma na kuandika fasihi, Kujadili maswala ya imani, muziki wa injili
Favorite Movies Fire proof, The Christian, Courageous
Favorite Music Bwana ni mwema, Burning Incense, Am Come, Nina wimbo, Majesty, Agnus Dei, Manukato, Life Song, Majesty
Favorite Books Evangelism by Fire, Grow or Die, The Great Hope, Walenisi, Kidagaa Kimemwozea, Bina-Adamu!, Likizo ya Mauti na Hadithi Nyingine, Siku Yao na Hadithi Nyingine, Amezidi