KING'AMUZI

My blogs

About me

Introduction KING’AMUZI HALISI ni blog ambayo ina lengo la kuibua mijadala inayokusudia kuwaelimisha wanajamii juu ya mambo mbalimbali ambayo yanatokea katika jamii yetu.Mambo hayo yaweza kuwa mema au mabaya, yaani chanya na hasi. Mara nyingi, mijadala hii italenga kupongeza, kukosoa na kuhamasisha watu waliopewa dhamana ya kusimamia usitawi wa jamii kupitia taasisi mbalimbali nchini. Hii ni pamoja na taasisi za kidini, kisiasa, serikali, mashirika yasiyo ya serikali na vyama vya kiraia. Msukumo mkubwa ukiwa ni maendeleo ya jamii. Maono Maono ya mwanzilishi wa blog hii ni kuwa, katika miaka michache ijayo tupate jamii yenye watu wenye uelewa zaidi wa mambo muhimu yanayowagusa au yanayogusa maisha yao, kiuchumi,kitamaduni, kielimu, kisiasa na kijamii kwa ujumla wake. Hawa watu wawe na uwezo wa kuyatatua matatizo yanayowakabili badala ya kulalamika bila kuchukua hatua.
Interests Waching Moves, TV, writing on Facebook etc.