Olivia
My blogs
Blogs I follow
| Gender | Female |
|---|---|
| Location | Dar es salaam, Ilala, Tanzania |
| Introduction | Viatuzi ni blog kwa ajili ya wapenda viatu kama mimi.Ndani ya blog hii nitawaletea mitindo mbalimbali ya viatu, lakini raha ya kiatu mkoba au kipochi ,na ........ hiyo ni suprise.Hivyo basi mikoba na vipochi pia vitakuwepo. Viatu, clutch na mikoba inayoonekana kwenye blog hii ninaiuza au tuseme inapatikana mjini Dar es salaam tena kwa bei poa kabisa. viatuzi na shoes4less ya kwenye facebook ni kitu kimoja. Karibu utazame viatu, maoni yako pia ni ya muhimu sana kwangu kwani naamini yatanijenga ili niweze kuleta viatu vikali zaidi. KARIBUNI. |
