SADELINE HEALTH CARE TRUST
My blogs
| Gender | Female |
|---|---|
| Location | MBEZI BEACH, DAR ES SALAAM, Tanzania |
| Introduction | Taasisi ya Sadeline Health Care Trust, ni taasisi inayo jishughulisha na uelimishaji wa afya hasa ya madhara ya Unene na uzito uliozidi kupitia vipindi vya luninga, majarida, vipeperushi na semina za wazi. Taasisi hii inategemea kufanya kazi na Taasisi ya Chakula na Lishe ambayo imeshaanza kutoa elimu kupitia vipindi vya televisheni juu ya mambo mbalimbali kuhusu lishe bora na uzito stahiki. Vile vile tunategmea kufanya kazi na madaktari kutoka hospitali mbalimbali za serikali na za watu binafsi ambao watakuwa wakielimisha kuhusu magonjwa mbalimbali yatokanayo na unene na uzito uliozidi. |

