mamalog
My blogs
Blogs I follow
| Gender | Female |
|---|---|
| Industry | Consulting |
| Occupation | Sociologist |
| Location | Dar es Salaam, Dar es salaam, Tanzania |
| Introduction | Ni mke. Mama. dada. Rafiki. Furaha ni kiu yangu ya maisha. Amani ni kinywaji changu. Upendo ni ngao yangu.Naamini kwa kila aliye mama/mke/dada/rafiki anacho anachokifurahia katika maisha yake. Mimi nafurahia ulezi. Napenda kubadilishana nawe kuhusu malezi ya watoto. Hasa kama wewe ni mama kwa mara ya kwanza nakukaribisha ujumuike nami katika blog hii ili tuweze kubadilishana mawazo juu ya changamoto za malezi, furaha na faraja tuzipatazo kila siku. Ukikumbuka tangu maombi yako ya kuhitaji mtoto, ukikumbuka tangu ulipogundua kwa mara ya kwanza kwamba u mjamzito. Ukikumbuka raha, karaha, wakati mwingine hofu katika safari ya miezi tisa kumleta mwanao duniani. Ukikumbuka faraja na matumaini hata baada ya kuwa umejifungua salama. Wasiwasi Mashaka na ujasiri wa kuingia katika ulimwengu wa mama. Hakika hakuna kama mama. Faraja ya milele ni Tunu yako. Ifurahie sasa. |

