Asenga Abubakar .D
My blogs
Blogs I follow
| Location | DAR ES SALAAM, TANZANIA, Tanzania |
|---|---|
| Introduction | ABUBAKAR (TUMAINI)DAMIAN ALPHONCE ASENGA nilizaliwa mtaa wa kijiweni Ifakara,Kilombero mkoani Morogoro MWAKA 1983. Nilisoma shule ya msingi MADUKANI IFAKARA,ufundi(motor vehicle mechanics grade II)IFAKARA TECHINICAL INSTITUTE HADI MWAKA 2000 na kufanya biashara kuwa saidia wazazi kabla ya kujiunga na elimu ya sekondari kimara Dsm hadi kidato cha sita nilicho maliza mwaka 2008 na kujiunga na diploma ya uchumi chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere hadi 2010 niliendela na masomo ya shahada ya siasa na usimamizi wa maendeleo ya jamii hadi mwaka 2012 nilipohamia kumalizia shahada yangu chuo kikuu huria cha Tanzania(OUT) ni mwanasiasa na mchambuzi wa masuala ya siasa nikiwa muumini wa serikali mbili,CCM,UJAMAA,TANZANIA NA AFRICA |
