ziro99blog

My blogs

Blogs I follow

About me

Location Tanzania
Introduction Sisi ndio bendi pekee hapa Tanzania tunaopiga muziki wa kweli kwa kutumia teknolojia ya kisasa ambayo ni bendi chache sana ulimwenguni zinatumia. FM Academia ilianzishwa mwaka.... Tangu hapo ilikamata vilivyo anga la muziki kwa albamu zake kali zilizotungwa na wanamuziki 'vichwa' chini ya uongozi wake Rais Nyoshi El-Saadat 'Sauti ya Simba'. Huku ikitumia mtindo wake Ngwasuma, bendi hii imeweza kuleta mabadiliko makubwa ya kimuziki kutokana na sauti zenye mpangilio kutoka kwa baadhi ya wanamuziki wake kama Patcho Mwamba 'Tajiri', Rogers Mzungu, Pablo Masai, Ibonga Katumbi 'Jesus' na rap kali kutoka kwa Toto Kalala, Kalidjo Kitokololo na G7. Kama ni mara yako ya kwanza kusikia Ngwasuma, usisite kwenda kushuhudia shoo zetu na hakika utakuwa muumini wa kudumu wa bendi hii. Kila Jumamosi tupo pale Kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama na kila Jumapili ni Bonanza lililoenda shule ndani ya ukumbi wa New Msasani. Karibu tucheze wote Ngwasuma.