Blogger
ROSEMARY MIZIZI
On Blogger since: May 2010
Profile views: ?

My blogs

Blogs I follow

About me

GenderFemale
LocationDar es Salaam, Tanzania
IntroductionKwa Ujumla nataka kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wote kwenye tovuti hii.. mwanamke na nyumba ni tovuti inayoongelea maswala ya nyumbani kwa ujumla iwe mambo ya kuelimishana cha kufanya nyumbani, iwe mahusiano katika nyumba kwa mume na mke na hata ushauri kwa wanaoingia katika ndoa na sio hilo tu bali hata kwa watu wasio na ndoa na mtu mwengine yeyote mkubwa ama mdogo anaye thamini nyumba yake. mimi ni mama na pia ni mke kwahiyo ikija kwenye swala la nyumba hamna ambacho kitakuwa kigeni kwangu. basi wote kwa ujumla tuungane pamoja kwa kupeana mawazo pamoja na mafunzo kwani nyumba za zamani ni tofauti na nyumba za sasa japokuwa mara nyingi ujenzi ni uleule.na kama unataka ushauri kuhusu lolote nyumbani kwako, mume,mke, mpenzi,watoto na vyote vinavyohusu nyumba kwa ujumla tukutane hapa Ahsanteni kwa ushirikiano.
Favorite moviesnot a fun
Favorite musicGospel, Rock, Pop
Favorite booksAny by Daniel Steel
Google apps
Main menu