MUSUTO wa CHIRANGI, PhD

My blogs

Blogs I follow

About me

Gender Male
Industry Human Resources
Occupation Human Resources and Finance Director
Location Musoma, Mara, Tanzania
Introduction Nilishushwa katika tufe hili lenye mseto wa Standard (std) za mapenzi ya Mola na ya Ibilisi; lenye std za raha na taabu na std anuawai za maisha. Nakiri kuwa mimi na wewe tuna nafasi kubwa sana katika kuamua tuishi na tushirikiane katika std zipi. Naamini katika kujishughulisha kwa hali na mali kwa yale yanayoathiri std za maisha na amani ya jamii. Hivyo lolote linalozungumzika na lizungumzike kwa ajili ya maboresho au kutafuta std inayofaa popote, wakati wowote,vyovyote pasipo uvunjaji wa sheria na au maadili husika! Na tufanye hivyo kwa HAKI, maana HAKI HUINUA TAIFA. Baba na Mama asanteni sana kwa kunipeleka shule na kunipumulia sikioni juu ya kuheshimu utu wa mtu, kufanya kazi kwa bidii na kumcha Mungu. Namtunuku Mke wangu, ndugu zangu na rafiki zangu kwa upendo na ushirikiano usio kifani!
Interests Kutafiti na Kuchambua, Kusoma na kujadiliana juu ya mada mbalimbali za maendeleo, Kucheza mpira wa miguu na kuangalia sinema.
Favorite Movies The Great Debaters, The pursuit of Happiness, Deliver Us from Eva, Coming to America, Hotel Rwanda
Favorite Music African voice of the Black A-mambazo
Favorite Books Health Policies, Human Resource Management, Financial Management, Leadership etc. with varied Authors / Editors.