LeVie7

My blogs

About me

Location Dar es Salaam
Introduction Katika blog hii nitaelezea historia na matukio ya siku zilizopita ili kuwatambulisha watakaosoma blog hii kujua na kuona ni nini kilichokuwa kimekosekana katika historia ya kweli ambayo ingepelekea kuwa na mazingira tofauti na haya tunayoyaona leo.
Interests Michezo (physical exercises of all types) kuogelea, kuchat, kuangalia asili (nature) kujumuika pamoja (social activities) and many more.
Favorite Movies Historical and Religious films
Favorite Music Gospel & Music bila vyombo. Nyimbo na musiki zote zinazotumia guitar.
Favorite Books Biblia, Vitabu vya Elimu juu ya Afya na Elimu juu ya Historia ya Dunia hii na matukio.

Unayathaminije Uwepo wako na maisha yako hapa Duniani?