Blogger
NIHABARISHE

    Contact me

  • Email
  • nihabarishe@gmail.com
On Blogger since: December 2012
Profile views: 1,132

My blogs

Blogs I follow

About me

IndustryCommunications or Media
OccupationPRINT & ONLINE
LocationDAR ES SALAAM, SEA VIEW, UPANGA, ILALA, DAR ES SALAAM., DAR ES SALAAM, TANZANIA, Tanzania
IntroductionNihabarishe ni blog iliyoanzishwa na kuwa chini ya Progress the Youth Foundation. PY husaidia jamii katika Nyanja za uchumi, Afya, Utafiti, uchapishaji na misaada ya kibinadamu. Kama mashirika au makampuni binafsi au makampuni ya serikali yanayojitegemea PY inayo haki sawa kuanzisha kutekeleza shughuli za habari na miradi yoyote pasipo kukiuka katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inayotoa uhuru kwa hivi vyombo na watu binfsi kuwekekeza katika habari. Sekta ya Habari na Utangazaji ni moja ya sekta za huduma za jamii nchini. Sekta hii inatoa huduma ambayo ni haki ya msingi ya raia kama inavyotamkwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara ya 18 ya Katiba inasema: (1) Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
InterestsINFOTAINTMENT(Entertainment with Information)
Favorite moviesBLOOD DIAMOND
Favorite musicBONGO FLEVA
Favorite booksRICH DADDY POOR DADDY, INVERTED DEMOCRACY BY PRINCE PASTORY
Google apps
Main menu