AlameenFoundation
My blogs
| Location | Dar es salaam, Kijitonyama , Tanzania |
|---|---|
| Introduction | AL AMEEN Blog ni Blog ambayo itakuwa inakuletea Darsa,Nasaha mbalimbali za Dini na Pia Shughuli za Kijamii zenye Tija na Maendeleo kwa Jamii yetu. Blog hii inasimamiwa na TAASISI YA AL AMEEN FOUNDATION (AIF) Taasisi ambayo imesajiliwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Kupewa cheti cha Usajili Namba S.A 21541 . Makao Makuu ya Taasisi Kijitonyama Ali Maua A , Dar es Salaam , Tanzania |

