Umoja wa Vijana wa Kikristo Tanzania

My blogs

About me

Industry Internet
Occupation kuhubiri habari ya Jina la Yesu na Matendo yake makuu, Kutoa ushauri na kufariji, kushirikiana kati shughuli za kijamii na kuandaa nmakongamano ya vijana kiimani na kijamii.
Location Mbeya, Mwanza, Dodoma, Arusha, Daressalaam, city, Tanzania
Introduction Umoja Wa Vijana wa kikristo Tanzania ulianzishwa mwaka 2009 mwezi septemba tarehe 17 kwa Lengo la kuunganisha vijana wa wote kikristo TANZANIA kwa hiyari yao ili tuweze kumtumikia MUNGU katika hali zote bila kujari udhehebu wetu. Shabaha ikiwa kuhubiri habari ya ufalme wa MUNGU katika kila eneo la TANZANIA kwa njia ya Uimbaji,uinjilisti,uwalimu,unabii,uchungaji na utume ikiwa ni kwa kuandaa mikutano ya injili,semina za ndani na nje,makongamano ya kusifu,kuabudu na maombi. Pia kama vijana wa Kikristo tunapenda kutembeleana, kushauriana,kufundishana,kusaidiana,kubadilishana mawazo,ujuzi na ufahamu kuhusu maisha yetu ili tupate kufanikiwa kiroho na mwili. Kusaidiana katika changamoto za ujana hasa katika Uchumi,Mahusiano,Ndoa,Huduma,Elimu,jamii na Shughuli zinazo gusa maisha yetu ya kila siku na jamii inayo tuzunguka. NI HAJA YETU KUONA VIJANA TUNAMTUKUZA MUNGU KWA KILA JAMBO NA KITU AMBACHO MUNGU AMETUPATIA.
Favorite Music Muziki wa injili na Kuabudu
Favorite Books Biblia