Rik Kilasi
My blogs
| Gender | Male |
|---|---|
| Industry | Business Services |
| Occupation | Post graduate student |
| Location | Coventry, West Midlands, United Kingdom |
| Introduction | Napenda kuwa mkweli,kusaidiana mawazo kusema nijuacho,kukosoa/kukosolewa, kusikilizwa,kusikiliza,kuheshimu anaye niheshimu,Naamini dini inayo amini Mungu yupo. Nachukia uwongo,unafiki,uhuni, utapeli,wivu wa kijinga,uchonganishi,wizi,kunidharau/kudharau,kuni amrisha,kulewa na kunisumbua,kunijaribu. Taaluma yangu ni utawala(Administrator) nimehitimu shahada ya kwanza UDSM-2007 na mwaka 2009 shahada ya uzamili rasili mali watu(Master of Human Resource Management)- Coventry University-Uingereza (U.K).Ukitaka nijua zaidi niulize bila kusita nitafurahi kukujibu. |
| Interests | chattin, readin, internet surfing, outing, making friends n wat....ask me more. |
| Favorite movies | Coming to America, |
| Favorite music | Bongo flavour, bolingo,zouk, R n B,Rap, Gospels,Zilipendwa, In-house, Dansal,Reggae...too many nimesahau! |
| Favorite books | ''I will marry when i want''; ''The beautiful ones are not yet born''. |
