Mitumba Halisi

My blogs

About me

Gender Female
Occupation Mjasiriamali
Location Dar es Salaam, Tanzania
Introduction Mitumba Halisi inapatikana Dar es salaam Tanzania Mitumba Halisi ni blog ya nguo za kuuza kwaajili ya kina dada na wamama wanaopenda kupendeza. Blog hii inakuletea nguo za kisasa za kila aina na za kila rika, Nguo za wadada kwaajili ya ofisini, kutokea usiku na hata kwaajili ya kuwa casual siku za weekend . Kupitia Blog hii utaweza kuziona nguo na kuagiza popote ulipo Tanzania. KARIBUNI WOTE