Zanzibar Mpya
My blogs
| Introduction | Blog hii imeanzishwa mjini Zanzibar na inaendeleza kazi zake kote duniani. Inatumia lugha ya kiswahili na kingereza ili kuhabarisha kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Visiwa vyetu vya Unguja na Pemba na habari na matukio ya ughaibuni kote walipo wa Zanzibar.Itakuwa inakuletea habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani,michezo nk. tunakaribisha maoni yenu. Wasiliana nasi kwa. Ef05068@gmail.com. |
|---|

