Blogger
Dkt. Moses Ringo (MD)

    Contact me

  • ringomoses
On Blogger since: December 2007
Profile views: 3,302

My blogs

About me

GenderMale
IndustryScience
LocationDar Es Salaam, Tanzania
IntroductionMhitimu wa Shahada ya Udaktari wa Binadamu (Doctor of Medicine) ya Chuo cha Afya Muhimbili.Nawashukuru wale wote waliofanikisha kwa njia moja au nyingine kunifanya daktari. Nimeguswa kuanzisha blogu hii ya kiswahili na kiingereza ili kuitumia ipasavyo elimu yangu ambayo nimeipata kutokana na kodi za watanzania wenzangu katika kuwaelimisha juu ya Maradhi (afya) tuunganishe nguvu kupigana na mmoja wa maadui wetu baada ya Uhuru. Ni matumaini yangu kwamba kwa kudra za Mwenyezi Mungu itakwenda kuwa chanzo cha mabadiliko chanya ya kimtazamo kuhusu Maradhi.
InterestsKusikiliza muziki (kizazi kipya),Kusafiri,Kusoma magazeti,Kutazama runinga,Kukutana na marafiki,Kucheza muziki n.k
Favorite moviesItalian Job,Fake Pastors
Favorite musicBongoflavor,Hiphop,Gospel
Favorite booksBible
Google apps
Main menu