tuchezewote
My blogs
Blogs I follow
| Gender | Female |
|---|---|
| Location | Dar es Salaam, Tanzania |
| Introduction | DEBORAH NIKSSON Mimi ni msichana wa kitanzani, mzaliwa mkoa wa Kilimanjaro ninayejishughulisha na kazi za sanaa. Nacheza ngoma za kiasili za Tanzania na mataifa mbalimbali mfano:Conteprary Dance n.k. Pia nacheza Sarakasi, kwa kutumia tairi ya baiskeli na Jagrin, pia ucheza na nyoka (chatu) na hucheza na moto vilevile. Pamoja na michezo hiyo huwa naimba pamoja na kuigiza filamu na tamthilia na michezo ya jukwaa. |

