eprovinpulishers2012

About me

Gender Female
Industry Arts
Occupation mwana sanaa
Location Dar es Salaam, Tanzania
Introduction Mimi ni mwandishi wa vitabu. Natumia lugha za Kiswahili na Kiingereza. Nimeandika vitabu vya kifasihi (hadithi fupi, riwaya, ushairi, na drama). Pia nimeandika vitabu vya kufundishia lugha ya Kiingereza kwa asiyeijua. Mbali na hayo, nimeandika pia vitabu kwa ajili ya maarifa mbalimbali yanayowafaa wasomaji kama vile: uandishi wa Kiswahili, sanaa ya uigizaji, uchapishaji na uchapaji, na pia maswala yanayowahusu walemavu.
Interests kuandika, kigiza, kusoma, kusafiri
Favorite Movies Kizunguzungu, Wakiwa, Makaburi Yatasema, Wachawi wa Bongo
Favorite Music usiende mbali nami, wrong number, kwa ajili yako, nalia kwa furaha, uliniumba nikuabudu, crazy world, back to my roots, false profess, Tanzania yetu nchi ya furaha.
Favorite Books Changamoto, Ujuha, Katiba Mpya, Common Mistakes in Kiswahili, Sanaa ya Uigizaji