Miki

My blogs

About me

Gender Male
Industry Communications or Media
Occupation Uchune kwanza mwanangu
Location Dar es Salaam, Kiembe Mbuzi, Tanzania
Introduction Jina ni Mzee wa Kutibua unalijua nadhani, ni mkubwa kuliko wewe, kaenda egi kichizi,Bontawni kitambo 1970 mitaa ya januari enzi hizo hata rodi hamna watu wanapiga zao misele tu kimtindo wanakatiza katiza tu kwenye uchochoro, ...watu tulikuwa tunapiga mguu kutoka Bunju mpaka Samora, mishemishe zikiisha tunakula guu Nyerere Rodi tunaibukia Ilala,Jangwani nduki....!Vitu vingine nshafogeti si unajua eji ikienda tena mambo fulani yanaevaporeti kimtindo. Lakini haina noma mbona...tupo ndani ya Jiji bado tukipambana na laifu na vijana wa sikuhizi wa Saa ya Inzi na Teke la Gia. Tunakwama kwama hapa na pale kiswahili cha vijana wa siku hizi unajua tena, mambo yanakuwa tafu inabidi tuthungumzye kingretha tu japo na chenye kinaweza kikamiksiwa na Kilatini mara moja moja. songi za enzi zile wale mabwana walizokuwa wakitufundisha ilikuwa ni soo yaani kilatini tupu. Asikudanganye mtu nilikuwa nabonyeeeeeza kinanda ni noma. Mpaka doremiza faso ikubali si mchezo.. Chachi kama kichuguu bati zimeezekwa altareni tu, .Bilzi yetu ilikuwa mitaa ya Kivule, Enzi hizo Raizoni, Pecosi ndio usiseme.
Interests Kuruka kwanja, kuchanganyika na Buku kwa sana. Mambo mengine ni kilatini nikikuambia ntakulostisha mwana.
Favorite Movies kipindi hicho Brusi lii...jemsi bondi 007. Unazijua hizo? kama ulikuwa hujatua kubali tu yaishe, kila kitu kina wenyewe bwana ndio maana wenye Mbege wengine Ngano.
Favorite Music muziki ndio usiseme naweza watu wanaingia klabu na Raizoni mwanangu. naweza nkaliaa ujue....
Favorite Books Najua king'reza ujue mpaka How Yuropu andadevelopu Africa najua

You've just inherited a manufacturing plant that specializes in plastics. What are you going to make?

mshasahau mbona