Mwalimu Makoba

My blogs

About me

Gender Male
Introduction Mwalimu Makoba (Daud Makoba), alipata Digrii/Shahada ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Elimu ya kidato cha tano na sita aliipata katika shule ya sekondari Bagamoyo. Elimu ya kidato cha kwanza mpaka cha nne aliipata katika shule ya sekondari Kigoma, nayo elimu ya msingi aliipata katika shule ya msingi Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga. Kwa sasa, anapatikana jijini Dar es Salaam na kwa yeyote anayetaka kusoma anaweza kuwasiliana naye kwa namba: 0754 89 53 21 au 0653 25 05 66. Wanafunzi walio mbali, hufundishwa kwa njia ya mtandao.