MALKIA
| Location | DAE ES SALAAM, Tanzania |
|---|---|
| Introduction | Mimi sophia kessy toka Tanzania binti wa kiafria ambae naipenda sana sanaa ya muziki toka katika bara letu tukufu la Afrika najifunza mengi kutokana na muziki na nimegundua mengi ambayo nahitaji kukushirikisha ili tujue nini hatma ya muziki wetu, kubwa zaidi ikiwa ni kuutangazamuziki wa afrika ulimwenguni kote kwasababu naamini kuwa hata wanamuziki wetu wa Afrika wanaweza. nafanya kazi katika Radio ya watu Clouds Fm na kiwa naendesaha kipindi cha muziki wa kiafrika nazungumzia Bambataa. karibu tujumuike pamoja. |
