Musa Buzelengule

My blogs

About me

Gender Male
Industry Technology
Occupation Manager
Location Morogoro, Morogoro, Tanzania
Links Wishlist
Introduction Musa.Buzelengule Ni Mwandishi na Mtaalamu wa Masuala ya Kidigitali na Na Mjasiriamali Binafsi(SoloPreneur).Pia Nimehitimu mafunzo ya Mtandaoni Katika Kozi Mbalimbali zinazotolewa kwa Malipo na Majukwaa ya Ujuzi Kama SkillShare,Lynda, Google Skillshop na Udemy.Musa.B Nimefanikiwa Kupata Vyeti Mbalimbali Vinavyohusiana na Ujuzi Huu Adimu na Muhimu Kwa Vijana wa Kitanzania Hasa Katika Kujikwamua na Wimbi Kubwa la Uksefu wa Ajira Ambapo Fursa zilizopo katika Mitandao ya Kijamii zinaweza zikaleta Mabadiliko Makubwa Endapo Zikafanyiwa Kazi Kwa Usahihi na Kwa Juhudi za Hiari. Ni Mmiliki wa SwahiliSkills Blog Inayotoa Mafunzo Kupitia Blog ya www.swahiliskills.com ,YouTube,Instagram,Facebook,Telegram na Twitter.na Pia Ninamiliki Blog ya Asili Music Tanzania www.asilimusictz.blogspot.com inayolenga kusambaza kazi za wasanii chipukizi wa nyimbo za asili ya kiafrika haswa za kiswahili BURE