JENNIFER KYAKA "ODAMA"
My blogs
| Gender | Female |
|---|---|
| Industry | Arts |
| Occupation | Dar es Salaam, Tanzania |
| Location | Biafra, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania |
| Introduction | Jennifer Kyaka (Odama) ni mwigizaji, producer wa filamu nchini Tanzania na ni mkurugenzi wa kampuni ya J-Film 4 Life iliyoko Biafra Kinondoni Dar es Salaam. Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2010 ikiwa imedhamiria kutengeneza filamu nchini na nje ya Tanzania kwa viwango vya kimataifa. J-Film 4 Life inazingatia kile mteja anakitaka hasa katika suala la muda (deadline), ubora wa picha (quality) na sauti (sound), vinakuwa katika viwango vya juu. J-Film 4 Life imeweka kipaumbele sana suala la ujumbe unaotolewa na waingizaji kuwa haupotoshi jamii na badala yake unaelimisha, adibisha, fundisha na kumfikia msikilizaji na mtazamaji ipasavyo. Kama Mkurugenzi wa J-Film 4 Life, ninapenda sana kufanya kazi na wasanii wa aina yoyote na mahali popote. KARIBUNI J-FILM 4 LIFE |
| Interests | 1. Kuangalia filamu mabalimbali 2. Muziki 3. Kusafiri 4. Kusoma vitabu mbalimbali |
| Favorite movies | ODAMA |
| Favorite music | R&B na Nyimbo za dini |
| Favorite books | Chinua Achebe |

