Blogger
Duka la kununua na kuuza
On Blogger since: October 2011
Profile views: 728

My blogs

About me

IntroductionKaribuni sana katika duka la kununua na kuuza bidhaa mbali mbali,lengo kubwa ni kukupa nafasi wewe mwenye bidhaa kuuza kuweka hapa na kuziuza, katika mtandao huu mfanya biashara ama mtu binafsi ataweza kuuza ama kuweka bidhaa yake yoyote iuzwe ikiwa ni pamoja na nyumba na magari,simu za mkononi,nguo,compyuta,mashine mbali mbali pia kitu chochote,nyote mnakaribishwa,tunaamini njia hii itakuwa mbadala kabisa kwako pia kutambulisha bidhaa zako na mali ghafi mbali mbali kwa ghalama kidogo tuu utapata nafasi ya kuweka biashara yako. tunaomba kwa wale wenye website ama web blogs mtutumie na link zenu pindi mnapo leta biashara zenu. Bidhaa zote na maelezo vitumwe kwa barua pepe yetu ambayo ni dukalako@live.com na kwa maelezo zaidi juu ya duka lako na malipo wasiliana na hii namba: +255 714233895 au +255 762039028 Nyote mnakaribishwa ndani na nje ya Tanzania Duka hili ni Lako wewe
Google apps
Main menu