Abdulrahman Mohamed

My blogs

About me

Industry Religion
Introduction Lengo la blogi hii ni kutoa mafunzo sahihi na yenye manufaa ya dini ya Kiislamu katika lugha ya Kiswahili. Tunamuomba Allah 'azza wa jall atuwezeshe kufikia lengo hili. Amin Tafadhali iwapo utaona jambo ambalo ni kinyume na mafunzo sahihi ya uislamu tuandikie katika anuani abuu.luqman@gmail.com na utueleze katika misingi ya Kiislamu juu ya kosa na tutafurahi zaidi iwapo utatuandikia na marekebisho. Jazakumullahu Khayr. Tafadhali tumia “comment” kutoa maoni, mawazo au mchango wa aina yoyote katika maada mbali mbali