Tanrise Africa
| Industry | Agriculture |
|---|---|
| Location | Tanzania |
| Introduction | Tanrise Africa ni jukwaa la kimtandao linalohusika na uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na uhifadhi wa mazingira. Mazao ya kilimo yaliyoongezwa thamani huleta tija kwenye mfumo mzima kutoka kwa mkulima hadi mlaji wa mwisho. Uhifadhi wa mazingira kupitia upandaji miti , matumizi ya nishati safi ya kupikia, na nishati safi katika usafiri unasaidia kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kupunguza athari kwenye kilimo. Wasiliana nasi tuweze kukuhudumia . Karibu sana Tanrise Africa |

