Blogger
Allen Sean Phillip
On Blogger since: May 2009
Profile views: 1,888

My blogs

Blogs I follow

About me

GenderMale
LocationIringa, Iringa, Tanzania
IntroductionMtu wa kawaida,mpenda watu,maendeleo na pia ni rafiki mzuri kwa kila mtu,kikubwa ni kuheshimiana muda wote.
InterestsNapenda na navutiwa sana na michezo aina kadhaa ambayo ninahisi nina uwezo wa kuicheza na hata kuishabikia,sio siri ni mpenzi sana wa filamu.
Favorite moviesNavutiwa sana na filamu za mapigano na zile zilizobeba maudhui ya kimapenzi ambazo naamini ndio maisha yetu ya kila siku binadamu wote hapa ulimwenguni
Favorite musicNavutiwa na aina zote za music mfano Rock,Reggae,R&B,Hip hop nk,lakini kikubwa ziwe na ujumbe ambao utanifanya nizisikilize bila ya kuchoka
Favorite booksHapa kidogo lazima nikiri kuwa nina mapungufu ambayo sifahamu ni ya kurithi ama kujiendekeza,sipendi kuzungumzia sana suala hili.
Google apps
Main menu