Maanisha! Team
My blogs
| Industry | Communications or Media |
|---|---|
| Location | Dar es Salaaam, Dar es Salaam, Tanzania |
| Introduction | Sisi vijana wa Maanisha! tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kujinyima nafasi kwa kukubali mazingira yaliyotuzunguka kama ndiyo mwanzo na mwisho wa safari yetu. Tumeamua kutoka! Tunataka mafanikio na tunamaanisha! We know that as one thinks so is s/he so we think BIG! We wake up each morning blessing God for making us Tanzanians, living in Tanzania right now. We are about to transform our Nation, one mind at a time. Born for such a time as this, tunaelewa kwamba mtu akitambua thamani yake na kujipanga, atasimama yeye, jamii yake na mwishoni tutaipa Nchi yetu Tanzania uhuru wa ukweli, uhuru wa kiuchumi! Kama wewe pia unataka kujua what it takes "kutoka" basi tuwe pamoja! Tuache kulalamika na kuwanyooshea wengine vidole. Dereva wa safari ya maisha yako ni wewe, basi kaa vizuri, funga mkanda na Maanisha! When you mean it! |
