EDINA-MIKAELA JOHNSEN
| Gender | Female |
|---|---|
| Industry | Business Services |
| Location | Sweden |
| Introduction | *...Hakika Jehova ni mwamba Imara na juu yake ndipo nilipoujenga msingi wa maisha yangu........................* kama jinsi ambavyo mtoto mdogo hupenda kusimuliwa hadithi, basi na mimi hubarikiwa sana ninaposikia watu wakisimulia SHUHUDA za matendo makuu aliyowatendea Mungu wetu wa mapendo, hivyo basi tunakukaribisha utoe ushuhuda wako mahali hapa kwani kwa kufanya hivyo utawabariki na kuwatia moyo walioko katika wakati mgumu. ubarikiwe... |
| Favorite books | the Holy bible. The long walk to freedom by Nelson Mandela. |

