Blogger
Moo Jr. Sarya

    Contact me

  • mobisons@yahoo.com
On Blogger since: February 2007
Profile views: 1,599

My blogs

About me

GenderMale
OccupationPosta
LocationIlala, Dar es Salaam, Tanzania
LinksAudio Clip
IntroductionMwandishi mahiri,napenda taaluma hii karibu tukutangazie ewe mfanyabiashara ufikie maelfu ya watu
InterestsNapenda kuskiliza miziki, pia mwenyewe ni mwanamziki wa kizazi kipya sema tu sijapata mfadhili wa kuweza kunitoa. nachukia sana majungu,kuonewa,kunyanyaswa na kutokutendewa haki,napenda mtu anayenipa stori za mapinduzi ya maisha na watu waliowahi kupinga kuonewa,napenda kuwasiliana na marafiki.napenda kufuatilia matukio yaliyoweka rekodi na ya ajabu. kama unapenda kuwa rafiki yangu tuwasiline .mobinsons@yahoo.com.
Favorite moviesAHH...Napenda maigizo ya kibongo na hivi vitimbi vya the commed lakini mimi mwenyewe napenda kusoma historia za watu maarufu duniani hapo hunitoi hata kama ni ndefu mnooo.
Favorite musicJamani nimesema napenda miziki ya kizazi kipya pia nje nampenda yule R kelly na wimbo wake The Burning
Favorite booksAH kama ni vitabu napenda Vitabu vyote vya Dini zote Uislam na Ukiristo kwani ndipo napata hekima. pia kuna kitabu kinaitwa Afrika Inakwenda Kombo
Google apps
Main menu