RAMA DEE

My blogs

About me

Location Dar es salaam, Tanzania
Introduction Rama dee ni mwanamusiki wa R&B ya kisasa kutoka nchini Tanzania, Amekuwa kwenye fani hii kwa muda mrefu sasa naweza kusema ni moja kati ya Magwiji wa musiki huu Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla, Ukiacha watu kama MR PAUL, TID. Ana Albamu moja sokoni inayokwenda kwa jina KUTOKA MOYONI yenye nyimbo kama SARA, USIJALI, Albamu yake ya kwanza ilitoka mwaka 2008. Na ililfanya vizuri katika mauzo Hapa nchini kwetu Tanzania.