Mwalimu MM

About me

Gender Male
Industry Education
Occupation Mwalimu
Location Dar es Salaam, Tanzania
Introduction Ni mwanafunzi wa utafiti wa mifumo ya TEHAMA katika huduma za afya (Health Informatics). Ninapenda na ni mfuatiliaji wa mambo yahusuyo uongozi, jamii, uchumi, siasa, imani, falsafa, maendeleo ya watu, na maadili. Ninatazama ushiriki wa mijadala yenye kutafuta suluhisho la changamoto za za kijamii na kimaisha kama njia nzuri ya kujifunza na kupanua uelewa wa mambo. Ninaheshimu na na kuthamini sana mambo makubwa matatu: Imani/uhusiano wangu na Mungu, mahusiano yangu na watu, na uzalendo wangu kwa nchi na taifa langu la Tanzania.
Interests Taking pictures (even when the object doesn't make sense); traveling and visiting new places; reading and writing; long driving; and babysitting.
Favorite Movies Documentaries, Scientific Movies, Peppa Pig episodes
Favorite Music Gospel Music; Zilipendwa
Favorite Books The Bible; Books by Barack Obama; Books by Ben Carson; My Life by Bill Clinton; The Long Walk to Freedom by Nelson Mandela; literature books by Africans authors like Chinua Achebe, Chimamanda Ngozi Adichie, Ngugi wa Thing'o, etc