Blogger
Digna Abrahamu
On Blogger since: March 2009
Profile views: 1,344

My blogs

About me

IndustryConsulting
LocationDar Es Salaam, Dar Es Salaam, Tanzania
IntroductionNimeanzisha jukwaa hili ili tuweze kujadili changamoto zinazowakabili vijana katika kufikia malengo yao. Nikiwa mmojawapo wa vijana nimeguswa sana na changamoto zinazotukabili na ndio sababu nikaanzisha baraza hili ili tuweze kushauriana na kuelimishana katika kubadili tabia zetu kama kichocheo cha kufikia malengo yetu. Nawakaribisha watu wa rika na jinsia zote kuchangia maoni yao ili malengo ya blog hii yaweze kufikiwa. Mwaweza wasiliana nami kwa barua pepe kwa anuani hii: misyd75@gmail.com
Google apps
Main menu